Katika kuhakiki maudhui ya igizo mhakiki anatakiwa azingatie:
Dhamira
Hapa mhakiki atajiuliza je! Igizo hili lina dhamira gani? Na dhamira hizo zinahalisika kijamii. Je!dhamira hii inalingana na wakati huu au wazamani.
Ujumbe
Hapa mhakiki anajiuliza ujumbe wa igizo hili ni nini? Pia ujumbe huu unafaa katika jamii inayohusika?
Maadili
Mhakiki anzingatia mambo yaliyobebwa na ujumbe yanayofaa kwenye jamii. Anaweza pia akabaini mapotosho. Ataeleza hayo yote na kutoa sababu kwann anaona ni au si maadili na kwa jinsi gani yanaifaa au hayaifai jamii inayohusika.
No comments:
Post a Comment